Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,644
Wakuu.....anaejua maeneo naeza pata...nisaidieni!
Kasuku huwa wanaagizwa toka congo mara ya mwisho walikuwa sh laki 3Mi naomba kuuliza watapatikana wapi kasuku na wanauzwaje nawapenda