NAHITAJI BUSINESS PARTNER

NAHITAJI BUSINESS PARTNER

sangaima

Member
Joined
May 16, 2023
Posts
77
Reaction score
104
Habari wakuu.

Takribani majuma mawili yaliyopita nilipost thread katika Jukwa ili thread yenye title : NATAFUTA KAZI YEYOTE ILE nashukuru Mungu japo kuwa muitikio haukua positive directly ila indirectly ulinifungua sana akili nakuniwezesha kuona opportunity ambayo inaweza zalisha kipato. Nilifanyia research kuhusu opportunity hiyo nakufanya attempt ya ku launch hiyo biashara feedback ya wadau walioonesha concern na interest imekuwa kubwa zaid ya nilivyo anticipate. Unfortunately mtaji wakuweza kubadili hawa prospectus client kuwa kipato ndo umenikwamisha. Hivyo basi natafuta mtu yeyote alie willing kufanya kazi nami either directly as business partner au ku invest a minimum of 2Million (estimated capital) kwa makubaliano ya share ownership au rejesho la mtaji na riba katika mdaa flani Asante note na karibu
Kwa maelezo zaid juu ya hiyo business na proof tafadhali tuwasiliane directly
Mawasiliano yangu : 0710929486
 
Hapa chekiana na ndugu zako , jamaa , marafiki zako wanaokufahamu from grassroot, ama ingia bank Kama business idea yako ni nzuri utapata mkopo. Afrika hatuna like angel investor, ambayo inatoa mitaji kwa watu wenye idea Ila hawana pesa. Hata jamaa wa TALA ameshapata capital like $15M tayAri kwa kuanza kazi am sure.
Hela inapatikana kwa damu, machozi, jasho, maumivu, yaani mtu inakubidi kutembea juu ya miiba, moto, misumari ukaichukue Sasa we unaiomba hela iyo kirahisi ivyo ndugu yangu.
Piga vibarua hata vya kulima utapata 2M hata kwa mwaka mmoja ama miwili.

Ila usitegemee kupewa hela huku huna warrantee ya hizo hela labda umeandikisha hisa zako huko DSE kweli.
Yaani hela ni ngumu navyoijua labda utakutana na mwana akabeti
 
Nashukuru kwa Feedback yako kaka. Be blessed 🙌.
 
Back
Top Bottom