Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,624
Wajee mkuuuNgoja waje wenyewe.. sisi ni wasomaji tu kwenye huu uzi
Oooh mama yangu mbona umenikata mapemaa1) Inawezekana.
2) Inawezekana.
3) Inawezekana.
Kwanini?Oooh mama yangu mbona umenikata mapemaa
Hata mm amenikata nasubiri uchambuzi wakeOooh mama yangu mbona umenikata mapemaa
2)Unaamini uchawi?1) Inawezekana.
2) Inawezekana.
3) Inawezekana.
Siamini uchawi lakini nafahamu upo.2)Unaamini uchawi?
Kwanini?
Kuamini kivipi?2)Unaamini uchawi?
Na sisi ambao sio wakongwe lakini tuna busara, tuna comment hapa hapa?
Faiza foxy,,,, nilipojiunga Jf thread yako nilikua ya kwanza kwangu kusoma na kuchangia,,,na kuna kidada kinatwa faiza hapa mtaan had Leo nakiita Faiza foxy and naona na wengine wameiga had mama ake anakita Faiza foxy1) Inawezekana.
2) Inawezekana.
3) Inawezekana.
Faiza foxy,,,, nilipojiunga Jf thread yako nilikua ya kwanza kwangu kusoma na kuchangia,,,na kuna kidada kinatwa faiza hapa mtaan had Leo nakiita Faiza foxy and naona na wengine wameiga had mama ake anakita Faiza foxy
Hahahaha nimefurahi kusikia na mimi nina impact fulani katika jamii.
Ahsante.
Marahaba. Ahsante.Bibi shikamoo
Huyu MTU lnaonekana anabusara sanaMarahaba. Ahsante.