Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Kwa ufupi bi Khadija amebanwa na nyeg.e..ila wenzetu ni ngumu kujielezea....asipoangalia atagongwa kis....mi mpaka kikauke..halafu wote watapotea ...atarudi na thread nyingine ya kulalamika
 
Dah kiutani utani nimejikuta nasoma comments karibu zote, nimecheka sana na nimeendelea kuamini wanaume hatupendi kulinganishwa, kitendo tu cha kuwataja hao kama samples ndio kiini cha tatizo kilipo. Ila kila la kheri @Bi_Khadija na kama kweli unataka rafiki basi chagua uliko kama ni kazini, chuoni au hata mtaani kwako atleast utakua na abc zake nyingi kuliko mtandaoni, maisha humu sio halisi sana. Ahsante
 
Aiseeee
 
Hahahaaaa
 
Jifariji tu dada yangu! Hakuna binadamu mwenye sifa zote hizo.utasubiri sana aisee..
 
Aiseee
 
Mchambo kama wa da Mange..
 
Empty set kabisa.
 
Wewe kwa sifa hizo useme tu unatafuta Mme wa MTU.
 
Huyo mwanaume unaemtaka labda ashuke kutoka mbinguni.
Maana wewe una tamaa na wanaume wa jf mara awe kama GuDume mara josseverest mara NyaniNgabu mara sijui nani! Huyo mumeo ataweza wapi kubeba sifa zote hzo za watu mia kidogo. Kwahyo wewe ukionaga comment tu za kingereza na utani wa GuDume tayari unaloa?
Hauko serious wewe mambo ya mitandao bado yanakupelekesha akili yako.
We bado msichana asee kua kwanza ndo utafte mume.
 
Niko hapa B.khadija Ila kuna baadhi ya vigezo sijatimiza mengineyo utaamua mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…