Nahitaji box ya kuflashia simu

Nahitaji box ya kuflashia simu

Ezekia Lameck

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
202
Reaction score
212
Habari wakuu nahitaji box ya kuflashia simu iwe miracle box au Volcano, pia kama ikipatikana nyingine inayoweza kusupport simu zenye chipset ya mtk, spd, etc.
Box iwe mpya au used, location Morogoro, pia kama upo nje ya Morogoro (dar, dom) tunaweza kuwasiliana namna gani naweza ipata box hiyo. Unaweza kuni PM tufanye biashara.
NB. Hizi cracked software (without box) sizihitaji tena kwan hazifanyi kazi kwa 100%, nimeiona ni bora nitafute tuu box yake.
 
Cheki na TCRA kwanza ili ujue sheria za kutumia hizo Box

Back
Top Bottom