Nahitaji bodaboda ya mkataba, nipo Dar

Nahitaji bodaboda ya mkataba, nipo Dar

BUSH LAWYER ntakujulisha ndgu maana watu wanaleta pikipiki mbovu ndgu ntashukuru ukinisaidia na Mungu atakubariki
 
Last edited by a moderator:
bushlawyer tena itakuwa vizuri Ukinunulia kabla tarehe 1 mwezi wa tisa ndio mkataba utaenda vizuri ndgu yangu
 
Last edited by a moderator:
Mimi nickson naishi dar es salaam, seheme ubungo Msewe,Nina mke na mtoto wa mwaka mmoja nisaidieni kuninunulia pikipiki, kwa wenye uwezo wa kunisaidia namba yangu ni 0714064767 Mungu ambariki atakayeguswa na shida yangu tutakubaliana marejesho yatakuwaje kutokana na utaratibu wako

Mtafute EL
 
Ndio hivyo Dada kuna watu hawajui shida ni nini ndio maana wanawadharau walio na matatizo
 
T uta andikishana mpka serikali za mitaa hata polisi kama MTU akiona mdhamini wangu haitoshi nataka kuwahakikishia kwamba ni uaminifu hapa maana ni shida ya familia yangu
 
Tumekupata ndugu, tutafutane kesho nikuelekeze kuhusu namna ya kupata pikipiki ya mkataba.
 
somsom samahani ndgu naomba namba ya simu nikupigie ndgu yangu Mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:
peace28 amen na Nina sali Mungu anipe bosi mwema mwenye utu nini
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wengine wanaleta mzaha sawa simependa matatizo Mungu yupo
 
Back
Top Bottom