Nahitaji bodaboda ya mkataba, nipo Dar

Nahitaji bodaboda ya mkataba, nipo Dar

Okay nitakucheki soon ngoja mpango ukae vizuri.
 
Mungu anisaidie maana nina malaika asiye jua lolote baba yake nipo kwenye matatizo
 
kaka naomba uniambie kwa pikpik za kawaida ukiachana na boxer wapenda kutumia ipi,
 
@ mchungaji muhuni-Hata hiyo sanlg utakuwa umenisaidia sana ndgu yangu
 
Mungu awabariki wale wote waliotenga muda wao kWa kunijibu vizuri Mungu awabariki na ningeomba atakae tokea kunisaidia itabdi anipe username ya jf nimshukuru humu humu kwenye jamii forum
 
San lg milioni moja na laki na nane tu plus laki moja bima kubwa jumla 1,900,000/=
 
jamani samahani wana jf mnisaidie hata ya hesabu kwa wiki 50,000/= namuomba Mungu awawezeshe ndgu zangu
 
jamani samahani wana jf mnisaidie hata ya hesabu kwa wiki 50,000/= namuomba Mungu awawezeshe ndgu zangu

Me nipo tayari kukupa hiyo kitu ila endapo utaweza kujishikiza sehemu mpaka tarehe 29 september then nitakupa na kila week unanipa elfu 50,000 je unaonaje utakuwa tayari kusubiria huo mda??maana sasa hivi sipo karibu...na tutaenda mguu kwa mguu tunaenda kununua pamojaa mpyaa nakununulia na insurance nakupa. Au kama hutoweza kama kuna mtu atakuwepo niambie ambaye mwaminifu....
 
Kaka tatizo familia inani angalia ndio maana nahitaji mapema na sitaki za day worker maana wakinipa zao na siku nikipata yangu halafu watahitaji yangu matokeo yake waniharibie kaka
 
Hata ya hesabu kwa wiki 50,000/= nipo tayar ndgu zangu Mungu awabariki nyote
 
Mkuu kama hadi ikifika tarehe 30 mwezi huu, hujapata mm nitanunua hiyo pikipiki na tutaingia mkataba. Kama ukifanikiwa kupata kabla pia nijulishe, asante
 
wacha ujinga mwenzio anakuja na shida halafu unaongea pumba kumbuka leo kwake kesho kwako

Kuna watu wa ajabu sana mkuu,mwenzake ana matatizo na anatafuta way out yeye kwa kuwa ana uhakika wa shibe analeta utani.
 
Ktk maisha watu hawajui kama familia yako ikikosa mahitaji unakosa amani na kwa wale wanaojua nini maana ya familia ndio watakaonisaidia Mungu mkubwa atatenda miujiza
 
Back
Top Bottom