Nahitaji bodaboda ya mkataba, nipo Dar

Nahitaji bodaboda ya mkataba, nipo Dar

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Mimi nickson naishi dar es salaam, seheme ubungo Msewe,Nina mke na mtoto wa mwaka mmoja nisaidieni kuninunulia pikipiki, kwa wenye uwezo wa kunisaidia namba yangu ni 0714064767 Mungu ambariki atakayeguswa na shida yangu tutakubaliana marejesho yatakuwaje kutokana na utaratibu wako
 
Sijakuelewa ndg dickson,unataka mtu akununulie wewe au mtu mwenye pikipiki au anayefanya biashara ya bodaboda au anunue then wewe uwe dereva wa bodaboda??
Ninachofahamu ni mimi nanunua pikipiki then naingia makubaliano na dereva kuwa ulete hesabu ya kila siku km 10,000/= na baada ya miezi 10 au 12ya mkataba ndipo nakukabidhi kadi ya pikipiki kuwa mali yako.
Kuna vitu haujaviweka sawa km una leseni ya kuendesha hyo pikipiki au laa??Ni vizuri pia km unakauzoefu kidogo au km umejifunza wiki iliyopita!!
Ni vizuri pia kuweka vitu wazi toka mapema na sio kupigiwa simu na maswali yote yajibiwe huko.WEKA MAMBO ADHARANI KTK POST YAKO.
Una kijiwe?Maswali yote niliyoyaweka hapa yana umuhimu sn ktk kufanikisha hitaji lako.
 
Samahani kwa kutoelewana Yaani mie dereva niwe naleta km 10,000 kwa siku then baada ya miezi kadhaa inakuwa yangu nikitimiza masharti
 
hapo umeeleweka maana yake ni kwamba ww unalesen na unakijiwe cha biashara ,
 
Bahati mbaya nilikuwa na dereva fyatu nikaiuza ilikuwa mpya...ngoja nifikirie tena kama uko serious nitafanya maamuzi mengine hata kama utakuwa umeshapata utanisaidia kupata mwaminifu
 
Mwenye familia siku zote anajua nini maana ya kazi na uaminifu ni mtaji ucjali ndgu
 
Jamani ndgu MBNA wengine mnaniletea pikipiki mbovu tuingie mkataba ikiwa nzima na kuhusu mdhamini wangu ni mzazi wangu msijali kwa hilo kama San lg IPO tutafanya tu
 
Naombeni mNisaidieni wana jamii forum kuikoa familia yangu, sitaki kujisifu najua kazi na kutunza chombo nijaribu piga 0714 064767 naitwa nickson
 
Ubungo msewe karibu na chuo kikuu mdhamini wangu yupo karibu na ubungo plaza
 
Hongera nickson kwa kutumia jf kwa namna positive kabsa....! Utapta mtu tu usijali..
 
Nickson kua na subira Mungu yupo nawe. Nimependa uombaji ujasiri wako .
 
Back
Top Bottom