Tulitaka kununua Kenwood kwa matumizi ya familia tukapewa angalizo kwamba Kenwood zipo origional na fake, utazijuaje? Tumeshauriwa tutafute BISH BLENDER tukaambiwa hizo ni brand mpya na Imara na hazijachakachuliwa, wadau mnazifahamu hizi BISH BLENDER? Ahsante