Nahitaji binti mwaminifu na mwenye mapenzi ya dhati

hosee

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
18
Reaction score
4
Ndugu wana JF wenzangu mm ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 21 namhitaji binti ama mpenz mwenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 21. Mwenye hizo vigezo wa umri an PM.
Asanteni wadau.
 
lakini si bado uko form v? maliza kwanza basi..
ujue mfumo wetu wa elimu haujakaa vyema kabisa.. hauruhusu kuchanganya haya mambo!!
 
Kijana mbona age yako na haya ulioandika hapa haviendani. Wew una uwanja mpana wa kutest na kupata vibinti special huko kitaa
 
tafuta fedha kijana...mapenzi yapo tu!!!
 
lakini si bado uko form v? maliza kwanza basi..
ujue mfumo wetu wa elimu haujakaa vyema kabisa.. hauruhusu kuchanganya haya mambo!!

Mkuu mim npo chuoni mwaka wa kwanza masters so haupo sahihi kusema npo form 5
 
Kijana mbona age yako na haya ulioandika hapa haviendani. Wew una uwanja mpana wa kutest na kupata vibinti special huko kitaa

Ni kweli kaka but huo mchezo wa kutest I hate it
 
Mmmmmhh!unataka kucheza na hisia za watu wewe umri huo?!i see bado mdogo.
 
Mkuu mim npo chuoni mwaka wa kwanza masters so haupo sahihi kusema npo form 5

aisee mwaka wa kwanza masters una miaka 21?? uliruka sekondari nini.?? au haupo tz??

nashindwa hata kushangaa
 
Kama umeanza danganya mapema hivi huko mbele si hatari.huwez kuwa nafanya masters ukiwa na age hiyo
 
21 masters? kwa mfumo wa elimu yetu hii? au unamaanisha upo master zile za majuguluu? karate?
 
Mabinti wamefungua shule jana. Subiri mwezi wa sita
 
aisee mwaka wa kwanza masters una miaka 21?? uliruka sekondari nini.?? au haupo tz??

nashindwa hata kushangaa

He wants to fool us!! At 21 he's pursuing masters program hvi nchi gani inamana KWELI aliruka madarasa!!! au misifa tuu ya kijinga
 
Mkuu wewe bado kinda huwezi kuhimili mikikimikiki ya mahaba na huba zake....si unaona kaka zako humu kila siku tunavyowafariji na kuwafuta machozi kutokana mahabati...piga piga kwanza punyeto ili upate uzoefu na kupunguza gundi...huku ukivuta muda muafaka...
 
He wants to fool us!! At 21 he's pursuing masters program hvi nchi gani inamana KWELI aliruka madarasa!!! au misifa tuu ya kijinga

misifa ya kijinga hii kujifanya anachukua masters... analeta maskhara huyu jamaa...
 
Back
Top Bottom