Nahitaji binti mwaminifu na mwenye mapenzi ya dhati

Nahitaji binti mwaminifu na mwenye mapenzi ya dhati

Mkuu mim npo chuoni mwaka wa kwanza masters so haupo sahihi kusema npo form 5

Sema ndio uko chuo mwaka wa kwanza ila ukisema masters ushaharibu hapo kwani ukiongea ukweli utapungukiwa nini
 
Mkuu wewe bado kinda huwezi kuhimili mikikimikiki ya mahaba na huba zake....si unaona kaka zako humu kila siku tunavyowafariji na kuwafuta machozi kutokana mahabati...piga piga kwanza punyeto ili upate uzoefu na kupunguza gundi...huku ukivuta muda muafaka...

Ayaaaa kwa ushauri huu lazima akae
 
He wants to fool us!! At 21 he's pursuing masters program hvi nchi gani inamana KWELI aliruka madarasa!!! au misifa tuu ya kijinga
Wakati anajibu comment alisahau kama aliandika umri kwenye mada yake msamehe bure mkuu
 
Acheni hizo msijifanye malaika Kwani nyie mmeanza ku to mba Na mkiwa na miaka 30 mpaka mnamuona mwenzenu mdogo kwanza anaweza kumpata mpz wakaanza kuzoeana ata miaka mitano kabla hajaamua kuwa ndio anafaa kumuoa nyie vipi
 
Back
Top Bottom