nami nahitaji ya ACER EXTENSA 4220Wakuu nahitaji Betri ya Laptop aina ya DELL D610.Tafadhali mwenye kujua inapopatikana tafadhali naomba msaada
Ukikosa hapo Tanzania wasiliana na mimi kwa P.M naweza kukusaidia mimi sipo Bongo nipo UghaibuniWakuu nahitaji Betri ya Laptop aina ya DELL D610.Tafadhali mwenye kujua inapopatikana tafadhali naomba msaada
UnakaribishwaNashukuru Mkuu,nitakujulisha!!!!
Ni pm kesho saa 3, betri zipo bei 150,000Tsh zipo aina zote bila kusahau adapter
Nashukuru Mkuu,nitalifanyia kaziMkuu kama upo Dar nenda KVD,ipo hapa mtaa wa Samora,ukifika hapo sanamu ya askari nenda na njia ya mtaa wa makunganya!moja kwa moja,kwa mbele kuna petrol statation ya BP,opposite yake ndio ipo hiyo KVD!WANAUZA 150,000 mimi nilinunua hapo ya kwangi ni DELL D620 hivi majuzi kwa bei hiyo.