Nahitaji battery ya S3 original

Nahitaji battery ya S3 original

FENtastic

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
6,780
Reaction score
10,556
Wadau hamjambo wote... Nimehangaika sana kuhusu tatizo la baterry kwenye simu yangu ya S3 na tatizo nimekuwa nakumbana na battery amabazo ni mabonye sana.. So naomba mwenye connection au mahal napoweza kupata baterry original tafadhal tuwasiliane..
 
Back
Top Bottom