Nahitaji battery ya laptop aina ya HP FOLIO 9470M

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari, nahitaji battery ya laptop aina ya HP Folio 9470M iliyo pichani. Nimejaribu kuulizia katika baadhi ya maduka kariakoo nimekosa, anayefahamu wapi naweza kuipata; au aliyenayo anaiuza apost hapa tafadhali
41-hhH2NBuL._SX425_.jpg
 
Habari, nahitaji battery ya laptop aina ya HP Folio 9470M iliyo pichani. Nimejaribu kuulizia katika baadhi ya maduka kariakoo nimekosa, anayefahamu wapi naweza kuipata; au aliyenayo anaiuza apost hapa tafadhali
View attachment 959078
ipo hiyo 130000/= ni chek 0624748884 au 0719484663
 
Back
Top Bottom