Naomba kuuliza bei ya batiki jumla hapo kariakoo ikoje na rangi zake.Pia kama kuna mtu anahusika na biashara hii aje imbox nataka kupeleka mzigo mkoani tugawiane fursa.