Wakuu amani iwe nanyi!
Nahitaji bati(za kuhezekea nyumba) zilizotumika kwa yeyote aliyenazo aniuzie ila zisiwe chakavu sanaa
Nataka kuzitumia kwa ajili ya kujenga uzio.
Napatikana Dodoma.
Karibu PM kwa yeyote alizonazo na yuko tayari kuziuza au anayeweza kunisaidia kuzipata.
Karakana, vetenali, Ilala boma karibu na rail,Kituo cha mwendo kasi eneo la relini zimejaa tuma nduguyo akupatie mawasiliano wakutumie mzigo idadi unayotaka
Karakana, vetenali, Ilala boma karibu na rail,Kituo cha mwendo kasi eneo la relini zimejaa tuma nduguyo akupatie mawasiliano wakutumie mzigo idadi unayotaka