Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Mkuu hekari zipo ila zina document zinazotambulisha mmlik halal wa Shamba kutoka serikal ya mtaaNaitaji aridhi heka 5
Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar
Iwe imepimwa
Budget yangu ni 10m.
Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Naitaji aridhi heka 5
Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar
Iwe imepimwa
Budget yangu ni 10m.
Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mkuu hekari zipo ila zina document zinazotambulisha mmlik halal wa Shamba kutoka serikal ya mtaa
Unajua garama ya kupima ardhi na thamani ya hizo ekari 5?
Kitanga mkuuMaeneo gani mkuu ?
IPO mkoa wa pwan yaan ukimaliza ilala unaingia zansa then somelo kitanga ambayo ipo pwanAtleast iwe na utambulisho mkuu !
Nipe mawasiliano mkuu ?Njoo bagamoyo ipo ardhi safi yenye rutuba. Inafaa kwa kilimo cha aina yoyote
0656 698232Nipe mawasiliano mkuu ?
Mkuu nakutumia PM lakini txt inafail. Nitumie yako PMNipe mawasiliano mkuu ?
We ubadilia vatar mpaka nakusahauMkuu nenda kibiti kwa ela hiyo utapata eka nyingi sana, nilikuwa huko last week, for more details nichek 0714547830 nikuelekeze vizuri
Mkuu nnazo zipo kijaka kimbiji temeke dar es salaam...kuna MTO unaoflow kwa mwaka mzima nnazo eka 34 ila ntakukatia eka tano zako ukitaka mpka hati ya ardhi utapata..mawasiliano 0769468965
Mkuu nnazo zipo kijaka kimbiji temeke dar es salaam...kuna MTO unaoflow kwa mwaka mzima nnazo eka 34 ila ntakukatia eka tano zako ukitaka mpka hati ya ardhi utapata..mawasiliano 0769468965
Nahitaji ekari nne square 140m kwa 140m utaniuzia Tsh ngapi?Mkuu nnazo zipo kijaka kimbiji temeke dar es salaam...kuna MTO unaoflow kwa mwaka mzima nnazo eka 34 ila ntakukatia eka tano zako ukitaka mpka hati ya ardhi utapata..mawasiliano 0769468965