Mswaki wa chuma
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 121
- 95
Msaada;Nimehangaika kutafuta app ambayo inalive tv za kibongo maana nyingi nazozipata zinaonyesha channels za nje tu,ipo application niliwahi kuitumia ina Azam1, Azam2 na local channels nyingine ila nimeisahau jina hivyo naomba wanaojua application zenye channel za bongo anisaidie