Nahitaji App graphic design kwenye android

Jun 6, 2019
49
24
Habari naomba msaha wa app gani ambayo itakua mzuri kwonye shughuri za graphic design amba nitaweza kutumia kwenye simu ya android bira pc msahada wenu jamani
 
Mwamba sio ungeomba kwanza msaada wa kuandika?

Poa lakini wanakuja ma graphic designers watakusaidia. Sisi waalimu tumewiwa kutoa msaada wa kuandika na kusoma
 
Mwamba sio ungeomba kwanza msaada wa kuandika?

Poa lakini wanakuja ma graphic designers watakusaidia. Sisi waalimu tumewiwa kutoa msaada wa kuandika na kusoma
Daaah poa bob maana inaonekana hata ujawai kukosea ww maana co kwa kunisimanga uko ila poa nisaidie kwanza
 
Back
Top Bottom