Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 347 Feb 22, 2023 #1 Ndugu zangu nahitaji anayeuza fremu za biashara hata kama nyumba ya nyuma utabaki nayo (Kama ipo) eneo lililochangamka Aniuzie fremu tu za biashara niwe nazipangisha na kufanyia biashara zangu
Ndugu zangu nahitaji anayeuza fremu za biashara hata kama nyumba ya nyuma utabaki nayo (Kama ipo) eneo lililochangamka Aniuzie fremu tu za biashara niwe nazipangisha na kufanyia biashara zangu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,438 Reaction score 35,966 Feb 22, 2023 #2 Hiyo ngumu sana. Wenzako wanatumia mbinu ya kununua kiwanja kinachofaa kujengwa fremu. Hata kama ni kidogo wanakinunua tu. Kisha wanajenga fremu na kufanya biashara wanayotaka. Ni ngumu sana kupata mtu akuuzie fremu zake. Maana fremu zinaingiza kodi kubwa kuliko nyumba za kuishi. Pia fremu zina faida sana kwa mmiliki. Mbinu ya pili unaingia mkataba na mwenye kiwanja sehemu nzuri zilizochangamka. Wewe unajenga fremu idadi kazaa.. kisha mnagawana zingine zinakuwa mali yako na zingine mali ya mwenye kiwanja
Hiyo ngumu sana. Wenzako wanatumia mbinu ya kununua kiwanja kinachofaa kujengwa fremu. Hata kama ni kidogo wanakinunua tu. Kisha wanajenga fremu na kufanya biashara wanayotaka. Ni ngumu sana kupata mtu akuuzie fremu zake. Maana fremu zinaingiza kodi kubwa kuliko nyumba za kuishi. Pia fremu zina faida sana kwa mmiliki. Mbinu ya pili unaingia mkataba na mwenye kiwanja sehemu nzuri zilizochangamka. Wewe unajenga fremu idadi kazaa.. kisha mnagawana zingine zinakuwa mali yako na zingine mali ya mwenye kiwanja
Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 347 Feb 22, 2023 Thread starter #3 Cm za mchina hz zinazingua
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Feb 22, 2023 #4 Mamujay said: Ndugu zangu nahitaji anayeuza fremu za biashara hata kama nyumba ya nyuma utabaki nayo (Kama ipo) eneo lililochangamka Aniuzie fremu tu za biashara niwe nazipangisha na kufanyia biashara zangu Click to expand... njoo hapa big bon kariakoo
Mamujay said: Ndugu zangu nahitaji anayeuza fremu za biashara hata kama nyumba ya nyuma utabaki nayo (Kama ipo) eneo lililochangamka Aniuzie fremu tu za biashara niwe nazipangisha na kufanyia biashara zangu Click to expand... njoo hapa big bon kariakoo
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,224 Reaction score 2,095 Nov 16, 2023 #5 Kama hujapata na unataka Arusha zipo fremu tano (semi finished) Njiro ndani ya uwanja mkubwa 40m x 48m. Bei 75 mllion
Kama hujapata na unataka Arusha zipo fremu tano (semi finished) Njiro ndani ya uwanja mkubwa 40m x 48m. Bei 75 mllion