Nahitaji ajira nimesomea ualimu

Nahitaji ajira nimesomea ualimu

netti mimi

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
147
Reaction score
109
Jamani habari zenu ...

Wapendwa bado sijapata kazi nisaidieni kazi yoyote nilee familia jamani nawaombeni plz plz msinitukane naombeni msaada tafadhali.

Mimi ni mwalimu masomo ya arts kiswahili na history ...hata secretary nafanya hata umatroni kazi yoyote mkoa wowote nisaidieni jamani uwiii.
 
kwa ushauri wangu anzisha kituo chako, fundisha masomo haya
English (Kusoma, kuongea na kuandika)
Watoto wadogo
Kiswahili (Kusoma, kuongea na kuandika)
Fundisha watoto wadogo achana na mikubwa haina soko pia haipendi shule.
Somo la history liweke pembeni.
 
Back
Top Bottom