Nahitaji Adaptor ya mashine ya EFD

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
24,636
Reaction score
44,391
Nahitaji adaptor ya mashine hii ya EFD.

Adaptor iwe ya V9-2A

Kama unayo tuwasiliane inbox

 
Hauna warranty, au aliyekuuzia dealer wako hana ?, sio kwamba ni maswali ya kipolisi ila according to TRA matengenezo yote ya EFD unaweza kuyaweka kwenye matumizi hence mwisho wa mwaka unaweza kuwadai pesa yako kama gharama ya kuendeshea..., sasa kama ulinunua kitaa bila risiti huenda ukakosa evidence ya manunuzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…