Hakuna chuki, inatakiwa utuambie uli-download pesa kiasi gani hadi sasa ivi unakuja kuomba 70k
Nyambaaaf wewee, ulitutukana sana ukijua ontario atakupa password ya kudownload pesa!
Huyo jamaa achana nae ni mpuuzi mmoja hivi! Alikua mpiga deki wa ontario, kila siku alikuwa anahubiri humu utajiri wa forex leo anaomba 70k?? Achana nae