October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
- Thread starter
-
- #21
Asante Mkuu, That what am going to do in next weeks with such amount of money.Wakuu humu JF,
Tuweni na umoja ili tumchangie Mkuu hapa,
Naanza Mimi nachanga TZS 20,000,
Haya wakuu karibuni kwenye Harambee hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo smartphone ndio inamfanya apate access ya JF na michongo mbali mbali.Manchoso said:Uza smartphone
Safi sanaWakuu humu JF,
Tuweni na umoja ili tumchangie Mkuu hapa,
Naanza Mimi nachanga TZS 20,000,
Haya wakuu karibuni kwenye Harambee hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukurani Mkuu.Mungu akutangulie mkuu, nimesoma mpango wako unatekelezeka wenye kuguswa wakupe suppot yao, wakati mwingine wafanye tu kama wanarudisha kwa jamii.
Mkuuu cheki vizuri document yako upande wa uandishi umeruka herufi/silabi sana wakati ukiwa unachapa nenoAsante Mkuu, That what am going to do in next weeks with such amount of money.
You Can Read From That Little Paper Down.
Keyboard ya PC inatatizo la herufi nyingi sana hazifanyikazi nimerekebisha sana kwenye simu.Mkuuu cheki vizuri document yako upande wa uandishi umeruka herufi/silabi sana wakati ukiwa unachapa neno
Nimepitia plan yako vizuri,Asante Mkuu, That what am going to do in next weeks with such amount of money.
You Can Read From That Little Paper Down.
Vipi umefanikiwa tayari kupata kazi, apo kiwanda cha kibaha?Asante Mkuu, That what am going to do in next weeks with such amount of money.
You Can Read From That Little Paper Down.
Bado Mkuu, ila nimepima nimeona ni vyema kuanza na mpango wa pili kufanya biashara kwa mahesabu yangu unalipa sana kule kiwandani itanihitaji miezi miezi sita(6) ku-save million moja (1M) ila huu mpango mwengine nahitaji mwezi mmoja tu kuSave hiko kihasi, nimeona Bora nianze na business hata mambo yakienda tofauti na nikivyopanga bado nitakuwa na Option ya kurudi kiwandani ila nikianza kiwandani imetoka hiyo mpaka miezi 7 kukamilisha Target.
sijaelewa logic behind hereNjoo uchukue lita moja kwa 30 tu vikopo Mia tano tano ukiuza kimoja buku tano thank me later usiwek Bei kubwa sna
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana wewe ni mtu wa mipango mingi sana.
Kila la heri ktk frx. Nahitaji kuijua hii frx maana sio kwa wizi unaofanyika haujajulikana
Huyo jamaa achana nae ni mpuuzi mmoja hivi! Alikua mpiga deki wa ontario, kila siku alikuwa anahubiri humu utajiri wa forex leo anaomba 70k?? Achana naeWakuu humu JF,
Tuweni na umoja ili tumchangie Mkuu hapa,
Naanza Mimi nachanga TZS 20,000,
Haya wakuu karibuni kwenye Harambee hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandika tu hujui, sasa sijui nani alikuambia utumie kiingereza! Eti feeling stationAsante Mkuu, That what am going to do in next weeks with such amount of money.
You Can Read From That Little Paper Down.
Subiri nikupe namba ya accountWakuu humu JF,
Tuweni na umoja ili tumchangie Mkuu hapa,
Naanza Mimi nachanga TZS 20,000,
Haya wakuu karibuni kwenye Harambee hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafathari, hebu huo mpango wa biashara u-paste hapa, mimi binafsi natamani sana kuusoma lakini bahati mbaya simu yangu haifungui pdf documentsBado Mkuu, ila nimepima nimeona ni vyema kuanza na mpango wa pili kufanya biashara kwa mahesabu yangu unalipa sana kule kiwandani itanihitaji miezi miezi sita(6) ku-save million moja (1M) ila huu mpango mwengine nahitaji mwezi mmoja tu kuSave hiko kihasi, nimeona Bora nianze na business hata mambo yakienda tofauti na nikivyopanga bado nitakuwa na Option ya kurudi kiwandani ila nikianza kiwandani imetoka hiyo mpaka miezi 7 kukamilisha Target.
Never know, labda naweza nikakusapoti.Mkuu tafathari, hebu huo mpango wa biashara u-paste hapa, mimi binafsi natamani sana kuusoma lakini bahati mbaya simu yangu haifungui pdf documents
+Huyo jamaa achana nae ni mpuuzi mmoja hivi! Alikua mpiga deki wa ontario, kila siku alikuwa anahubiri humu utajiri wa forex leo anaomba 70k?? Achana nae
Sent using Jamii Forums mobile app
=Kuandika tu hujui, sasa sijui nani alikuambia utumie kiingereza! Eti feeling station
Ontario anaendeleaje huko mnako-download pesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, ni mpango wa uchumi binafsi sio specific business, ngoja nikopi na ku-paste kwenye PM.Mkuu tafathari, hebu huo mpango wa biashara u-paste hapa, mimi binafsi natamani sana kuusoma lakini bahati mbaya simu yangu haifungui pdf documents