Nahitaj msaada wenu ndugu zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaj msaada wenu ndugu zangu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kabaizer, Oct 24, 2011.

 1. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jamani sina elimu zaid ya form 4 hivyo nilikua naomba wanajamii wenzangu mnisaidie japo kibarua chochote hata kufagia barabara ili mrad niweze kujikwamua ktk dimbwi hili la maisha magumu!
   
 2. m

  mkalagale Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we unaonekana ni mvivu hivi kazi ya kufagia barabara unakuja kuitafutia jf umeidhalilisha jf hii great thinker labda nikupe ushauli jichanganye katika kazi yoyote hata kama huipendi ndipo utapata mwanga
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  bongo muvi je???
   
Loading...