Kuhusu nini?
NB, siku zote naomba ujue kabla ya kuomba msaada lazima kwanza uanze kujisaidia mwenyewe kwa kujieleza vizuri, maana kwenye kila jambo linalokuhusu mtu wa kwanza ni wewe mwenyewe.
Naona unataka kuanza na mguu wa kushoto wewe,halafu baadae uanze kusema kuna rushwa Wizarani.
Angalia kwanza hivi vitu vitatu hapa chini kwanza.
Aina ya shule unayotaka kujenga ( Vidudu,primary,Sec,High school au Chuo/madrasa) na taratibu zake zikoje. Taratibu utapata Wizarani/Wilayani.
Soko la shule yako linalenga watu gani ( itikadi). Location ya shule yako ( kiwanja kimepimwa au bado) kama hakijapimwa,kitakupa shida sana kwenye usajiri, ni mjini au huku shambani kwetu. Ni Bweni au kutwa na je mchanganyiko au jinsia moja.
Kama haya umeyafanya, kujenga ni kazi ya kitalaam,watafute vijana waende kilipo kiwanja wakutengenezee master plan ya shule yako. Kisha tafuta mjenzi aanze. Kabla hujaanza kujenga nenda kwa maofisa wa elimu wakupe utaratibu mkuu, unaweza sumbuka sana na majengo yako. Kuna vipimo kwa kila jengo la shule mkuu.