Nahisi sina bahati

Labda unakauli za kibabe na kulazimishana. Au una dharau na kejeli zisizo na msingi. Au si msikilizaji mzuri bali ni muongeaji hodari. Au labda pia unapiga kelele sana unapofanya hayo mapenzi.
 

utakubali ukiambiwa??!

https://www.youtube.com/watch?v=5VhEzsYPYhY
 
embu nitafute nipo serious tujue tana anzia wapi 0752312220 ata mm ndo ivo ivo shost
 

Ukipata mpya usiongelee mahusiano yaliyopita ikiwezekana useme SIJAWAHI,
 
Pole kipenz wanaume ndivo walivo vumilia utapata chaguo lako, maana nikikusimulia unaweza lia na uckae ukapenda teeena mwanaume
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…