Nahisi sina bahati ya kupendwa

Nahisi sina bahati ya kupendwa

hussein boxer

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
832
Reaction score
335
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa nikisoma post za watu wengi humu Jf na wakati mwingine kuchangia,kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilidumu nae kwa mda wa miaka minne na tulikuwa na mipango ya kuoana ila badae wazazi wake walikuja kwenda kumsomesha mkoa mwingine na amemaliza kusoma na sasa anafanyakazi huko nakuishi huko.

Miaka mi3 imepita sijamuona na amekata mawasiliano kabisa. Nina umri wa miaka 32 na nimeshapata wachumba zaidi ya 7 ila huwa wananiacha katika hata bila kugombana,sivuti sigara wala sinywi pombe ya aina yoyote pia kipato changu ni cha kawaida tu. Umri unaenda nahitaji kuwa na familia yangu ila sijapati mwanamke aliyesiriazi na maisha.

Je, nitakuwa nakosea wapi wakuu?Izingatiwe imepita miaka mi3 sina mchumba anayeeleweka sababu huwa wanabadisha uamuzi wa mwishoni? Au nitakuwa nimeumbwa niwe single tu nini?

Ushauri plz
 
bro. watu tusiokunywa pombe na kuvuta sigara tuna kilevi chetu nacho kinabunja kweli mawasiliano we VP htumiag mademuu?

natumiaga ila nataka wa kuoa kabisa ndio sipati kwani wengi wao ni wapenda pesa tu.
 
wachumba wate hao ....? inaonesha wewe ndio hauko serious kwenye mahisiano ndio maana unaachwa.
 
hussein mpenzi bado nakukumbuka!
hivi kumbe haujaoa?
tatizo unakibamia na pesa huna ndo maana nikakukimbia.

pesa ninazo za kuweza kujikimu mahitaji ya msingi ya binadamu kama malazi,chakula na mavazi,nikumbushe ulikuwa unaitwa nani vile?
 
nimeshatafuta sana ila napata za kubadilisha mboga tu,na umri umeenda mkuu siwezi kusubiri zaidi ya hapa.

Mmhh usije ukambaka mbuzi tu:becky:
 
Hahahahah,mkuu piga mimba tu wakati penzi likiwa changa pale hamna demu atakukimbia ukimtia kitu.Inawezekana unapaka paka hina sana mpaka wanakutoka mduki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom