Nahisi ninatumika kupita uwezo wangu

Nahisi ninatumika kupita uwezo wangu

Waambie huna kazi unasoma so huna hela,siri wawe nayo familia,yako yani wazazi,na nduguzo wa damu,hao wengine wafanye kazi khaaaa,utaishia kufanyia kazi watu badala ya kutengeneza maisha yako?vaa roho mbaya
 
Poleh sana,saidia but kwa kiasi,HATA UKIWA BILL GATES HUWEZI SOLVE YOTE DUNIANI..
 
Pole sana,mara nyingi ukitaka kufanya maamzi yako kwa ajili ya faida ya maisha yako ya baadae usiangalie vizuizi.FANYA MAAMZI MAGUMU ili ufurahie huko mbelen.
 
Wote hapo juu ni ushauri mzuri. Cha msingi Dogo hakikisha Mipango yako haikwami
 
hapo hujaonga?....hujala bata batani...hawa ndugu watakuzeesha
 
Hauna familia ndo muda mzuri wa kuwasaidia ndg zako! Acha roho ya kwa nn? Pengine ulisaidiwa sana na ww wakati unasoma! Wenzio tunakopa ili kuwasaidia ndg! Ukioa nadhani hautatuma hata sh 10 ww? Mungu atakuzidishia km unatoa kwa moyo lkn km unatoa kwa nyodo na kisirani unatafuta laana wala hutofanikiwa umewaijiuliza umetenda wema gani ili ww upate na ndg zako wakose? Acha unafiki
 
Ndugu yahitaji moyo waweza kumsaidia lakini yeye anaweza kukutoa roho kisa wivu it pains so much,angalia ya kwako.
 
mimi bado sijakuelewa umalize form 6 then ukasomee certificate ya akaunti
 
Pole sana. Ni jambo jema kusaidia ndugu zako, so usijilaumu, usisononeke na kujiona umetumika badala yake mshukuru Mungu kwa kuwa amekuwezesha kutimiza hiyo moral responsibility yako. Ni wajibu wetu kuwasaidia wenye uhutaji, bila kujali kama they will thank us back or not.
On the other hand, do something right, not something convenient. Badala ya kutokupokea simu zao, au kuwadanganya ili wasikufuate, jitahidi uwaweke chini, waambie unahitaji kujenga msingi wa maisha ambao ni sustainable na imara zaidi ya huo wa sasa, unahitaji kujiendeleza kielimu, unahitaji labda na kuanzisha biashara ndogo ili uchume hela ya ziada ya kujikimu na kusaidia wengine kwahiyo hali yako ya sasa kifedha sio nzuri kwasababu unatumia hela yako katika malengo hayo...kwa wenye busara wataelewa, watakuombea kwa wale wasio na busara na shukrani wataona unaringa, watakulaumu. Usiogope lawama, lawama wameumbiwa binadamu sio ng'ombe.
Kila la kheri, Mungu abariki juhudi zako ziwe na mafanikio makuuuuuuuuuuuuuuubwa sana.
 
Wageuzie kibao na wewe uanze kuwaputishia mchango wa kukupeleka chuo,,, ila usibadili namba ya simu huwez jua sisi ni binadamu
 
Pole sana. Ni jambo jema kusaidia ndugu zako, so usijilaumu, usisononeke na kujiona umetumika badala yake mshukuru Mungu kwa kuwa amekuwezesha kutimiza hiyo moral responsibility yako. Ni wajibu wetu kuwasaidia wenye uhutaji, bila kujali kama they will thank us back or not.
On the other hand, do something right, not something convenient. Badala ya kutokupokea simu zao, au kuwadanganya ili wasikufuate, jitahidi uwaweke chini, waambie unahitaji kujenga msingi wa maisha ambao ni sustainable na imara zaidi ya huo wa sasa, unahitaji kujiendeleza kielimu, unahitaji labda na kuanzisha biashara ndogo ili uchume hela ya ziada ya kujikimu na kusaidia wengine kwahiyo hali yako ya sasa kifedha sio nzuri kwasababu unatumia hela yako katika malengo hayo...kwa wenye busara wataelewa, watakuombea kwa wale wasio na busara na shukrani wataona unaringa, watakulaumu. Usiogope lawama, lawama wameumbiwa binadamu sio ng'ombe.
Kila la kheri, Mungu abariki juhudi zako ziwe na mafanikio makuuuuuuuuuuuuuuubwa sana.

^^
well said Vato
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom