SyntaxReaper
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 364
- 293
Kijana wa miaka 26-29 ukitoka job unafikiria sex badala ya kutafuta shughuli za kujiongezea kipato,pathetic
Halafu kuonyesha upo hapa kujigamba unajidai kbs eti hutumiagi hela kuwanasa.
Halafu kuonyesha upo hapa kujigamba unajidai kbs eti hutumiagi hela kuwanasa.
Habari gani?
Niende moja kwa moja kwa mada.
Mm kijana umri kati ya 26-29, nahisi either ninatumiwa na shetani au nina pepo la ngono. Huwa nina nyege zilizopitiliza. Yaani ninaweza kufanya mapenzi leo na kesho yake hamu ya mapenzi iko pale pale.
Anyways hilo sio tatizo kubwa, shida kubwa ipo kwa hao ninaoshiriki nao tendo la ndoa. Ikumbukwe bado sijaoa, hivyo nalazimika mara kwa mara kutafuta mtu wa kuwa nae ili kukidhi haja zangu.
Yes, nina girlfriend ila kama ujuavyo ni ngumu kila siku kuwanae na kusex nae. Hataivyo yeye sio mpenzi sana wa sex. Hivyo nalazimika kutafuta wa kukidhi haja zangu.
Jinsi niwapatavyo:
Rejea kichwa! Mpaka kuhisi ninatumia na shetani ni kwanamna ninavyowapata hawa wasichana ninao sex nao.( kwa week hata mara 5). Mara nyingi huwa jioni after job. Nikifika tu home naanza kupatwa na hamu ya sex, chaajabu ni kwamba mara nyingi hali hiyo ikinitokea nikitoka nje ya home mwanamke wa kwanza au wapili kusalimiana nae kwa namna moja au nyingine atanikubalia kusex nae hata kama sio immediately basi kesho au keshokutwa lazima nitasex nae.
Sijawahi kupata ham ya sex na nikalala bila kupata wa kusex nae.
Sijawahi kutumia hela kuwapata. Mara nyingi huwa naona aibu baada ya sex na huwapa tip kdg kama nauli. Hii imenifanya nianze kuhofia pengine kuna kitu kinaendelea ndani yangu.
Imefika point inabidi nitafute nyumba ya kuhamia kila baada ya miezi 3 au 6 kwasababu ya usumbufu na baada ya kuwatafuna wapangaji wenzangu (mpaka wake za watu).
Hivi kuna mtu yuko kwenye hali hii au amewahi kupitia hali hii?
Kejeli najua zipo! Nitazipuuza.
Mwenye msaada wamawazo nakaribisha...