Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Pm mkuu tena kufanya nn ukoDaah! Shunie cheupe wangu nije pm?!
Pm mkuu tena kufanya nn ukoDaah! Shunie cheupe wangu nije pm?!
Uniombee pepo la ngono!Pm mkuu tena kufanya nn uko
Nenda kwa mwamposa hapo mwenge kwenye vinyago anatoa kila aina ya mapepoUniombee pepo la ngono!
Nataka maombi yako mpendwaNenda kwa mwamposa hapo mwenge kwenye vinyago anatoa kila aina ya mapepo
ahahaa! michezo ya amber rutty!Siku ukitatuliwa marinda ndo utatulia
Mm sio nabii wala mtumishi wa Mungu sitaweza kukusaidia mm ni shunie tuNataka maombi yako mpendwa
Shunie ndani ya Jezi ya timu yangu pendwa..Mm sio nabii wala mtumishi wa Mungu sitaweza kukusaidia mm ni shunie tu
Nipo hapa handsomeShunie ndani ya Jezi ya timu yangu pendwa..
Sihitaji nabii wala mtumishi. Wewe ndio TabibuMm sio nabii wala mtumishi wa Mungu sitaweza kukusaidia mm ni shunie tu
Huo utabibu unaoutaka siuwezi mmSihitaji nabii wala mtumishi. Wewe ndio Tabibu
Namba unachikua za nn sasa kama huna mpango nao.Kwa kuwa unawatafuta ww hawajileta wao basi una pepo lako ww na sio unatumiwa na shetani, nasema ivo kwa sabab wakat unawatokea hao wadada huwa una akil yako timamu kabsa.
Mm pia niko km ww ila sijataka kuendekeza ngono zembe, na nimeweza. Mm huwa sitoki jioni kuwatafta bali nikiwa kweny gari za usafiri wa umma nikikaaga na binti yyte mara nyng huwa wananitega, sijui kwa nn. Ila wachache san nilishawishika kuchukua namba na ni wachache san nilifika stage ya kuwalala.
Hapa nilipo nina namba mpya ambayo nmeitoa kwa binti mmoja kwenye mwendokasi jana tuu. Ila nishaamua simtafuti kamwe na namba nafuta. Mm huwa naridhisha nafsi yang kweny first sigh ila nikitoka hapo hiyo roho ya tamaa naifyekelea mbaliii.
Kwa mstaili hiyo hata ukienda kuabudu utawatamani waumini wa kike tu




