Nahisi nina pepo la ngono

Nahisi nina pepo la ngono

ilo suala si dhani kama linahitaji ushauri sababu ushajua tatizo lako kuwa unacopulate/unajamiiana ovyo ovyo ni jukumu lako tu kuacha mara moja na ukiendekeza utakuwa kama wapiga nyeto ngumu sana kuacha

ila ili uweze kuacha nakuomba ujue kwanini hiyo penis yako ikaitwa sehemu ya siri ukijua siri maana yake nini basi utaacha
 
Kwa kuwa unawatafuta ww hawajileta wao basi una pepo lako ww na sio unatumiwa na shetani, nasema ivo kwa sabab wakat unawatokea hao wadada huwa una akil yako timamu kabsa.

Mm pia niko km ww ila sijataka kuendekeza ngono zembe, na nimeweza. Mm huwa sitoki jioni kuwatafta bali nikiwa kweny gari za usafiri wa umma nikikaaga na binti yyte mara nyng huwa wananitega, sijui kwa nn. Ila wachache san nilishawishika kuchukua namba na ni wachache san nilifika stage ya kuwalala.

Hapa nilipo nina namba mpya ambayo nmeitoa kwa binti mmoja kwenye mwendokasi jana tuu. Ila nishaamua simtafuti kamwe na namba nafuta. Mm huwa naridhisha nafsi yang kweny first sigh ila nikitoka hapo hiyo roho ya tamaa naifyekelea mbaliii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom