Nahisi nina mkosi wa mapenzi.........

Nahisi nina mkosi wa mapenzi.........

EagerBee

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
34
Reaction score
0
Nimeona bora niwashirikishe wana JF wenzangu kwenye hisia zangu kwani ninahisi nina mkosi wa mapenzi jamani..........,nilibahatika kumpata jamaa mmoja alinipenda sana tulidumu kwenye penzi letu tukipita mabonde na milima,vishawishi na uchonganishi kwa miaka minne ndipo siku moja aliuchoma moyo wangu kwa kunambia kuwa kahamishwa kikazi hivyo ataondoka siku inayofuata kwenda kenya.Niliumia lkn sikuwa na la kufanya,after 6 month alinical akanambia anipendi tena amepata mwingine.Nilikaa 2yrs nikiwa single ndipo nilipomkubali boy mwngne nae tumedumu naye mwaka mmoja na nusu,jana ananionyesha barua et nae kahamishwa kikazi kwenda tabora...............naogopa nae asijekunipigia simu akanambia amepata mwingine nami siwezi kwenda nae kwani bado nasoma.Jamani huu niuitaje kama si mkosi.
 
Sidhani kama ni mkosi,vizuri umejieleza vizuri kwamba bado unasoma,situation yako inakubana ku move na hao watu wako,unasoma nini na umebakiza muda gani?
 
Mkosi unaujua wewe?

watu wanapata ajali wanakuwa walemavu na kazi wanalazimika kuacha
na hawaiti mkosi

watu wanafiwa na wazazi wao wote wawili hukku wanasoma bado
na hawaiti mkosi...

next time maliza shule ukipata mwanaume anahamishwa unahama nae...
 
Nimeona bora niwashirikishe wana JF wenzangu kwenye hisia zangu kwani ninahisi nina mkosi wa mapenzi jamani..........,nilibahatika kumpata jamaa mmoja alinipenda sana tulidumu kwenye penzi letu tukipita mabonde na milima,vishawishi na uchonganishi kwa miaka minne ndipo siku moja aliuchoma moyo wangu kwa kunambia kuwa kahamishwa kikazi hivyo ataondoka siku inayofuata kwenda kenya.Niliumia lkn sikuwa na la kufanya,after 6 month alinical akanambia anipendi tena amepata mwingine.Nilikaa 2yrs nikiwa single ndipo nilipomkubali boy mwngne nae tumedumu naye mwaka mmoja na nusu,jana ananionyesha barua et nae kahamishwa kikazi kwenda tabora...............naogopa nae asijekunipigia simu akanambia amepata mwingine nami siwezi kwenda nae kwani bado nasoma.Jamani huu niuitaje kama si mkosi.
 
huo sio mkosi, alafu usiwe na wasiwasi.
 
tulia
soma kwanza
mambo ya mapenzi huwa hayaeleweki
 
hahah...nahitaji kurudi kwenye kamusi na kuangalia tena maana ya neno 'mkosi'...
 
Nimeona bora niwashirikishe wana JF wenzangu kwenye hisia zangu kwani ninahisi nina mkosi wa mapenzi jamani..........,nilibahatika kumpata jamaa mmoja alinipenda sana tulidumu kwenye penzi letu tukipita mabonde na milima,vishawishi na uchonganishi kwa miaka minne ndipo siku moja aliuchoma moyo wangu kwa kunambia kuwa kahamishwa kikazi hivyo ataondoka siku inayofuata kwenda kenya.Niliumia lkn sikuwa na la kufanya,after 6 month alinical akanambia anipendi tena amepata mwingine.Nilikaa 2yrs nikiwa single ndipo nilipomkubali boy mwngne nae tumedumu naye mwaka mmoja na nusu,jana ananionyesha barua et nae kahamishwa kikazi kwenda tabora...............naogopa nae asijekunipigia simu akanambia amepata mwingine nami siwezi kwenda nae kwani bado nasoma.Jamani huu niuitaje kama si mkosi.
Mzuri wewe, sifa za kupendwa unazo !! acha kuweka dhana mbovu na ondoa mawazo finyu. Hakuna kitu kinachoitwa Mkosi au kuhisi mkosi... ni wewe mwenyewe umejivisha woga huo !! Aamka ushughulikie Dunia itacheka na kufurahi nawe anytime... ! Mustakabali unao na uwanja wa maisha ni mpana.
ubahatike maishani.
 
Pole...Usivunjike moyo kwa vitu vidogo kama hivyo,shukuru mungu upo hai na una uzima.Maisha yamejaa misukosuko na unatakiwa ujifunze kutokana na majaribu uloyapitia.
 
Mapenzi na shule sawa na mlenda na chai! Utampata asiyehamahama vumilia tu
 
mimi nimehamishiwa daslam, next month naripoti....ngoja nijiandae kuku-pm
 
Nimeona bora niwashirikishe wana JF wenzangu kwenye hisia zangu kwani ninahisi nina mkosi wa mapenzi jamani..........,nilibahatika kumpata jamaa mmoja alinipenda sana tulidumu kwenye penzi letu tukipita mabonde na milima,vishawishi na uchonganishi kwa miaka minne ndipo siku moja aliuchoma moyo wangu kwa kunambia kuwa kahamishwa kikazi hivyo ataondoka siku inayofuata kwenda kenya.Niliumia lkn sikuwa na la kufanya,after 6 month alinical akanambia anipendi tena amepata mwingine.Nilikaa 2yrs nikiwa single ndipo nilipomkubali boy mwngne nae tumedumu naye mwaka mmoja na nusu,jana ananionyesha barua et nae kahamishwa kikazi kwenda tabora...............naogopa nae asijekunipigia simu akanambia amepata mwingine nami siwezi kwenda nae kwani bado nasoma.Jamani huu niuitaje kama si mkosi.

mtoto mdogo tena bado unasoma unalalamika acha kukurupukia mambo
 
Ni kumshukuru Mungu kwani kila baya lina heri mbele yake, mwombe Mungu tu atakuonyesha mume sahihi kwako
 
Miaka 4+miezi 6+ miaka 2+1.5 ni sawa na jumla ya miaka 8 ndani na nje ya mapenzi na bado unasoma, phd au?
 
akiwazacho mjinga ndicho kinachomtokea.
 
akiwazacho mjinga ndicho kinachomtokea.ACHA KUISHI KWA KUFANANISHA MATUKIO.
 
Hakuna mikosi.......ila hujampata anaekupenda!!!""kuhamishwa kazi hakumfamyi mtu eti akwambie hakupendi tena na amepata mwingine.
 
Back
Top Bottom