Miaka 4+miezi 6+ miaka 2+1.5 ni sawa na jumla ya miaka 8 ndani na nje ya mapenzi na bado unasoma, phd au?
Miaka 4+miezi 6+ miaka 2+1.5
ni sawa na jumla ya miaka 8 ndani na nje ya mapenzi na bado unasoma,
phd au?
Nimeona bora niwashirikishe wana JF wenzangu kwenye hisia zangu kwani ninahisi nina mkosi wa mapenzi jamani..........,nilibahatika kumpata jamaa mmoja alinipenda sana tulidumu kwenye penzi letu tukipita mabonde na milima,vishawishi na uchonganishi kwa miaka minne ndipo siku moja aliuchoma moyo wangu kwa kunambia kuwa kahamishwa kikazi hivyo ataondoka siku inayofuata kwenda kenya.Niliumia lkn sikuwa na la kufanya,after 6 month alinical akanambia anipendi tena amepata mwingine.Nilikaa 2yrs nikiwa single ndipo nilipomkubali boy mwngne nae tumedumu naye mwaka mmoja na nusu,jana ananionyesha barua et nae kahamishwa kikazi kwenda tabora...............naogopa nae asijekunipigia simu akanambia amepata mwingine nami siwezi kwenda nae kwani bado nasoma.Jamani huu niuitaje kama si mkosi.