usiache kuelezea na lile neno la siri la sm zako na ATM card zako zote. Tena usizishike tena. Zaidi ya yote usisafiri tena. Ila omba ufe weye tu sisi ndugu zako tukuweke pema
MR Kilimanjaro,
Polee sana mkuu,ni kweli kwa sababu ya corona hata ukiugua mafua ya kawaida hofu inaongezeka taarifa kuhusu huu ugonjwa zimekuwa nyingi wakati mwingine unashindwa kujua ukweli ni upi ila naona WHO ndio kidogo wanatoa miongozo kuhusu huu ugonjwa ;
self testing- breatth in and hold on for ten seconds or more kama utashindwa kuhold on ukajikuta unakohoa au ukabreath out basi hiyo ni sign mojowapo kuwa una maambukizi na chukua hatua haraka.
ndugu wakati upo hapo nyumbani chrmsha maji kiasi lira mbili .weka kwenye ndoo .jifunike vuta mbune kwa pua .mpaka unasikia uneingia ndani. vuta kwa ndomo mpaka kwenye mapafu..kamwa kwa dakika asubuhi na jioni. hata kama corona kwa umbo lake la mafuta litayayuka. hii dawa nzuri. halafu chukua maji ya moto Tia chumvi kukutua na tia puani
usiache kuelezea na lile neno la siri la sm zako na ATM card zako zote. Tena usizishike tena. Zaidi ya yote usisafiri tena. Ila omba ufe weye tu sisi ndugu zako tukuweke pema