Bumpy Johnson
Member
- Aug 4, 2022
- 34
- 60
Habari zenu wana JF
nina shida ya kudhibiti tabia yangu. Kuna muda inakua ngumu sana kufanya kazi ambazo zinahitaji umakini wa muda mrefu, kama vile kusoma kitabu au kufanya kazi ya ofisi. Pia inakuwa ngumu kutoa maamuzi haraka na shida ya kufanya vitu kwa muda.
Mf Naweza nikatoa nguo kwajili ya kufua then nikarudi ndani kufuata sabuni lakini baada ya kuchukua sabuni najikuta nasahau kabisa nilifuata nini ndani hivo upelekea kuendelea kufanya vitu vingine kabisa na kusahau kama nilkua nafua, pia mara nyingi nikiwa nazungumza na mtu nashidwa kabisa kuconcentrate na mazungumzo nakujikuta nawaza vitu vingine kabisa.
Napenda kupata ushauri kutoka kwenu?