Nahisi nimeyakanyaga

Nahisi nimeyakanyaga

mkiambiwa mpige nyeto hamtaki
Screenshot_20221203_122955.jpg


Atumie hizi tabs zinasaidia sana
 
Wataalam,
Hivi hamnaga kipimo Cha gono kile Cha chap chap Kama kile Cha Ukimwi wakuu?

Maana wengi wetu tunauza mechi Sana baada ya kupima Ukimwi tu na kukuta mambo Ni negative?
Kipo kinapima zinaa na ngoma kwa wakati mmoja
 
ukijamiana na mwanamke mwenye magonjwa sugu ya zinaa dalili hujitokeza haraka sana.
dalili za mwanzo ni kukojoa mara kwa mara/u.t.i kukojoa mkojo wenye harufu kali.

Lakini kuvuja kwa manii/semen leakage ni daalili moja wapo ya ugonjwa wa tezi dume, lakini pia matatizo mengine.

nakushauri nenda hospitali na umuone Daktari.

Ngono ni hatari kwa afya yako.
 
Usiogope kapime ukikutwa nao nipe mwez mmoja tu dawa ipo inafuta kabisa nicheki 0712505049
IMG_20221203_113257_016.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom