Nahisi nimeyakanyaga

Nahisi nimeyakanyaga

Ajabu jana aliniahidi anakuja leo nikafrahi kweli ila leo baada ya kuamka hivo sina raha nimemwabia asijee leo angenimaliza kabisaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulivo kataa Sasa
Kina mzabzab watakwambia "penye miti..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulivo kataa Sasa
Kina mzabzab watakwambia "penye miti..
Nawaza hizo sindano tu dah nilidhani labda sio gono maana usaha sio mzito ni kama mbegu za kiume tu ila naumia sana dah
 
Nakushangaa mpaka muda huu upo humu unajibu jibu comments za watu. Nenda hospitali kwanza, ukishaanza dozi ya sindano na hizo anti biotic pills ndio uje huku...
Umeyakanyaga kweli ebo...
Eeh kuna sindano tena
 
Sasa upime ukimwi kwani ndani ya wiki ngoma inaonekana?
Mimi hili gono nililipata kama la mleta mada hapo, nikawa nashangaa huu usaha ni nini hiki, nikaenda Nunua dawa Azuma bado gono halikuondoka,nikaona Bora nijisalimishe kwa doctor hospital nikadungwa hayo masindano ndo kupona,
Cha ajabu aliyeniambukiza Hilo gono ukimwambia anakana, Bora hata Petro alimkana Yesu kwa nidhamu🙄
Baada ya kupona nilimblock kabisa japo ni mzuriii akafie huko mbele.
NB:Mimi siwezi kupima ukimwi kwa kweli bado naamini Ukimwi ni nadharia tu kama ungekuepo basi Ningekua nao sasa.
Bravo👊👊 mleta Uzi utapona.
kasuagatz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom