Nahisi nimerogwa

Nahisi nimerogwa

Micheweni Pemba

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
351
Reaction score
180
Wakubwa Shkamooni na Wadogo Habari zenu.

Jamani naomba ushauri wenu,mm ni kijana mdogo sana sbb sijafikia miaka 30,kwenye jamii yangu ninayoishi mm ni kijana wa kupigiwa mfano kwa kuwa nimepata maendeleo mapema kuliko vijana wote waliobakia wa rika langu.

Nilianza kumiliki Nyumba ya kisasa nikiwa kijana wa miaka 17 tu,nilipofikia umri wa miaka 18,nilifunga safari za kwenda Dubai na Thailand kufata biashara za electronics,na kwa kuwa n kijana mm tu niliejanjaruka kwa wakati huo,nilipata faida ya haraka sana nikaweza kumiliki gari tatu za abiria,na kama haitoshi nikanunua boti mbili za uvuvi,ikumbukwe kwa wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 19 tu.

kwa wakati huu naandika habari hii nina miaka 23,nimeshakuwa na vitega uchumi vingi tu.

Najua utakuwa na hamu na kujiuliza kwa nini nimesema nimerogwa?.napenda kuchukua fursa hii nikuelezeni kwa nini nimesema hivyo,maana huenda msaada wenu utakuwa na manufaa kwangu!.

Mtaani kwetu ninapoishi nilijenga mazoea ya kiurafiki na mama mmoja ambae ni kweli nilimtumia kama mshauri wangu wa kibiashara,basi huyo mama alikuwa amebahatika kupata watoto watoto 3,mmoja akiwa wa kike,na ikumbukwe huyo mama alipenda sana kunifanyia matani muda mwingine akiniita "Mkwe wangu".

nilipokuwa na miaka 22 nilitamani sana kupata msichana ili nifunge nae ndoa,nilimfata yule mama kwa ajili ya kunipa ushauri kuhusu ndoa,basi matatizo yote yalianzia hapo,sbb yule mama alinitaka nimuoe mtoto wake,na pia aliwahi kuniambia kitu kuwa ikiwa sitomuoa mtoto wake basi mm na yeye tusizungumze kwa lolote,na litakalonipata nisije kulia na yeye,niliogopa sana.

Kwa kuwa mm yule binti yake hakunivutia kwa kuwa hakuwa wife material,niliamua kumuoa msichana mwengine,basi alihamaki sana hata siku hizi nikimsalimia haitikii kabisa,na kama haitoshi,tangia nilipofunga ndoa mambo yangu kibiashara yamekuwa ya hovyo sana,mara ya mwisho kwenda dubai ilikuwa mwaka jana,biashara zangu zimeyumba sana,gari zangu 3 nimeshauza tayari,na boti yangu moja ilizama na wale watu wangu waliokuwa wanavulia wamekufa wakati inazama,niliumia sana,kwa sasa nimebaki na boti moja tu,ambalo hata halifanyi kazi vizuri,siku hizi nikifanya biashara napata hasara sipati faida.

Nilijaribu kumuomba radhi yule mama ili tuishi kama zamani,ila amekataa hata kuzungumza na mm,ki ukweli mm siwezi kumuoa mwanae namjua hajatulia,kwa kuwa alishawahi kufanya mapenzi na marafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunashirikiana kwenye biashara,siku hadithiwa nilimuona mwenyewe kwa macho yangu alipovunja amri ya sita.

Kiukweli ninaumia sana jinsi nilivokuwa zamani na nilivo sasa.

Naombeni munishauri nifanye nn ili niwe kama zamani.
AHSANTENI.
 
Una amini Mungu ni mkuu kuliko huo uchawi unaouhisi...
 
marahaba, sasa nenda kwa mganga wa kienyeji ili ujinasue!
 
Toa hizo Pepo chafu kwa JINA LA YESU. Have a short prayer with me.

Demons, in the name of Jesus Christ:

I now plead the Blood of Jesus Christ over my entire spirit.
I now plead the Blood of Jesus over my entire soul.
I now plead the Blood of Jesus over my entire body.
I now plead the blood of Jesus over this entire house.

Demons, the Word of God is now my Sword! I repeat, the Word of God is now my Sword!

I am now taking up my sword, which is the Word of my God, which is the word of my Lord and Savior Jesus Christ - and I am now coming against each and everyone of you - whether you be on the outside of me or whether you be on the inside of me.

Demons, all of your legal rights have now been completely and totally broken to pieces - completely and totally demolished - completely and totally severed. I repeat - all of your legal rights have now been completely broken. Your time is up! You will all have to go now! I repeat - you will all have to go now!

To every single demon that is living and operating on the inside of me - I am now coming against each and everyone of you. I now plead the Blood of my Lord and Master Jesus Christ against each and everyone of you. I repeat - I am now pleading the Blood of Jesus Christ against each and everyone of you.

In the name of Jesus - I command you to come out of me right now and to leave me and this house - and you are to never, ever come back on me again. I repeat - every single one of you that may be on the inside of me is to come out of me right now in the name of Jesus Christ - and you are to leave my body, my soul and this house immediately! Go now, in the name of Jesus Christ! I repeat, go now in the name of Jesus Christ!

To every single demon who may be attacking me from the outside or who has been living in this house as a result of the legal rights I had earlier given to you, I am now coming against each and everyone of you. You too have had all of your legal rights totally broken. Not one of you has any more legal right to be able to stay attached to me in any way, shape or form. You will all now have to go.

In the name of Jesus Christ - I now plead the Blood of Jesus against each and everyone of you! I repeat - I now plead the Blood of Jesus Christ against each and everyone of you!

In the name of Jesus - I now command you to leave myself and my house, and you are to never, ever come back on me again. I repeat, you are to leave me and my house for good - and you are to never, ever come back on me again! Go now, in the name of Jesus! I repeat - go now in the name of my Lord and Savior Jesus Christ and do not ever come back into my life or this house ever again!

Father, Jesus - I have full faith and belief that You have now driven all of these demons out of my body, out of my soul, out of my house and out of my life for good by the power of Your Holy Spirit.

Father, Jesus - I now ask that You protect both me and my family from this moment on, and that You never allow these demons come back on us ever again.

Father, Jesus - to You be all of the glory. To You be all of the praise, glory and honor that is only due to You.

Father, thank You for this deliverance.
Father, thank You for this new life.

Father, I now ask that You take complete control on my life from this moment on and that You lead me into Your perfect will for my life.

Father, guide me by Your Holy Spirit into the direction and path that You will want me to take in this life. My life is no longer my own. I now belong to You, and You alone.

Thank You Father.
Thank You Jesus.
Thank You Holy Spirit."demons! Now is the time to vanquish them out of my life for good! Now is the time to stand up and fight and directly engage with them - operating under Your full power and anointing to be able to do so!

In Jesus Name

and EVERYBODY SAY, Amen
 
Mkuu mm ni Muislamu,nimeshafunga,kutoa sadaka na kuswali sana bado tatizo lipo pale pale.naomba unipe ushauri mwengine.

Ulisha wafata masheikh ukawambia kama ulivyo twambia sisi hapa?
 
Mkuu usibishe sana kuhusu maombi. Lipo jina linaloweza. Sema kila siku asubuhi...Yesu hii ni siku mpya naomba uonekane ktk biashara zangu ili nikujue na kuliamni jina lako. Utaona mabadiliko. Huyo mama asikutishe hata mkuu yeye ni binadamu na ww ni binadamu vle vle
 
Back
Top Bottom