Shiiish ama kweli mapenzi ni mavi 🤮🤮🤮 pambania 💰 tu sasaRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
Kulikuwa na haja gani ya kuandika kipande hiki eti we mchepukaji uliyekubuhu?Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado
Akili mbovu umeoa una mchepuko na Bado una wivu na huna mtoto duuh pole sana, ukiwa mzinzi usiwe na wivu, piga hudumia unapoweza kutoa bila kuumia basi.Rejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
Futa hii kauli. Unaempenda ni hilo gube gube linalokulaza macho na kukushindisha bila kula kisa wivu.Mke wangu nampenda sana
Nenda kwa mganga mkuu haiwezekan umuwaze ivoRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
💯Akili mbovu umeoa una mchepuko na Bado una wivu na huna mtoto duuh pole sana, ukiwa mzinzi usiwe na wivu, piga hudumia unapoweza kutoa bila kuumia basi.
Sasa hapo kulogwa kupo wapi? Pambana na moyo wako ukubali matokeo kwamba mmeachana kisha mambo mengine yatakaa sawa.Rejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
Huku unaendelea kuomba Mungu akupe mtoto wakati unadinyana na watu ambao ushirikina kwao ni kama maji ya kunywa. Kila la kheri huna la kushauriwaRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.