Nahisi nimedukuliwa namba yangu ya simu

jacana

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
445
Reaction score
436
Mola awe nanyi wapendwa!

Nahisi nimedukuliwa mawasiliano yangu; msaada tafadhali mwenye uelewa mambo ya mtandao, nitaweza vipi kuijua namba inayonifuatilia mawasiliano yangu?

Asanteni na usiku mwema
 
Kwa nini unahisi umedukuliwa?
Tupe A,B,C's tujue nasi tukilinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…