Wadau, hivi kweli mnadhani alikuwa ananiambia kweli? Mtu kafikia kwa jamaa halafu kakaa wiki mbili, hivi kweli hawakumegana? Komredi Fidel hebu nipe mawaidha yako...unalionaje hili? Nilimegewa? Mimi nadhani nilimegewa ingawa sina ushahidi wa bunduki inayofuka moshi.
Brasil, pole kwa yanayokukuta. ila huwezi kuwa na uhakika sana kama kweli huyo mpenzio alitembea na baba mtoto kwa kipindi hicho cha wiki mbili. Na kama anakuambia hakufanya kabisa anakataa basi itabidi umuamini tu hakuna namna nyingine ya kupata ukweli. next time huyo baba mtoto kama ana shida ya kumuona mwanaye aje huko mnakokaa amuone na wewe ukiwepo.
Huyo mpenzi wako na yeye kisa cha kushukia kwa huyo kaka mwingine ni nini? kwani hoteli zilikuwa zimejaa au vipi? Ndo yale yale FL1 alisema saa zingine wasichana tunajitakia matatizo.
ha ha ha ha ha!
BRASIL..........
goodmorning everybody
JS hapo ndipo kuna tatizo ...sometimez sijui akili gani huwa inatumika
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:Me am fine thank you ticha .:A S-rose:
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
umenikumbusha form one ''C''
ha ha ha ha!hahahaha leo si ndio blue monday Teamo nina hangover ya kukata na shoka :focus:
hehehe,In the first place uliridhia hayo ambayo ulihisi yalitokea......umesema mwenyewe wewe si mtoto mdogo (hukuzliwa jana usiku)
sasa wakati anakwambia atalala kwa mazazi mwenzie kwa nini hukuuliza sababu? pengine hakuwa na hela ya kukodi chumba hotelini na ungefahamu ungensaidia labda na kuepusha na jaka moyo la hivi???
'contributory negligence' hiyo sasa.....kama alimegwa at all!!!
afu ni kama sijakuelewa vizuri.....ulimwacha yaani mkaachana kwa sababu ulimshuku hivyo au??
hehehe,
mstahiki hakimu..........
kwa mara ya kwanza naiona fest post yako ambayo si ofutopiki!
okay turudi kwenye mada.......
we unadhani katika akili ya kibinadamu ya kawaida hiyo mambo ya ''..kumkabidhi fisi bucha..'' ni valid?ai miin KIBONGO-BONGO hata KI-BEBA BOXI PIA inawezekana?
cooooooooooooooooooooooooooooooooourrrrt!....
hehehe,
mstahiki hakimu..........
kwa mara ya kwanza naiona fest post yako ambayo si ofutopiki!
okay turudi kwenye mada.......
we unadhani katika akili ya kibinadamu ya kawaida hiyo mambo ya ''..kumkabidhi fisi bucha..'' ni valid?ai miin KIBONGO-BONGO hata KI-BEBA BOXI PIA inawezekana?
cooooooooooooooooooooooooooooooooourrrrt!....
husikii utamu usiponitoa kwenye mada wewe........ntafanya rejoinder sasa hivi we subiri!!!
aisee hiyo haiwezekani ni hatari sana.......allurement hiyo Brazil alifanya tena on his own detriment sasa ona yalomkuta!!! ni kama alienda kumringishie mwenzie amwone demu alomwacha yeye sasa ndo anatesa naye!!! chochote chaweza kuwa kilitokea au hakikutokea!!!
kwa hiyo Teamo iwe kwa mmbeba box au mbongo bongo hii iko compliketed kiaina.
Kwanini yeye ndio alimpeleka mtoto? hiyo ni sign kama bado anampenda X au ndio u airhead wa wanawake (mie siufahamu)... halafu nawewe ulikubali kwahiyo huna right ya kuwa na wivu...unajua sometimes women takes advantage of nice guys halafu wala hawawapendi... if u r too nice and allow her to walk all over u, u will be like a doormat and she will think u r a supplicating fool, akishaacha kukuhitajia she will dump you ...:smiling:
Samahani kama nime kukwaza...
Bht,hapo wote wawili walichemka tuu.Sasa wewe kuniringishia vogue yako unanipostia?Si angeenda nae? Na huyo dada alikuwa anamtaka tuu huyo mzazi mwenzio,anapelekewa mtoto yeye ni presidaa huko toronto!Anashindwa kubeba boksi akwee pipa kuja kumuona mtoto?Afu kwa mwanamke aliyetendwa na kutelekezwa akiwa mjamzito,kumpa mtu heshima yoote hiyo ya KUMPELEKEA mtoto,mtoto huyohuyo ambaye hakumtaka kabla ya kumuona!Angekuwa mama yangu,nikajua hii stori,ningemjia juu kwa kujipendekeza kwa huyo mtu wa kiume (manake baba yangu ni yule aliyekubali jukumu la kunilea)
In the first place uliridhia hayo ambayo ulihisi yalitokea......umesema mwenyewe wewe si mtoto mdogo (hukuzliwa jana usiku)
sasa wakati anakwambia atalala kwa mazazi mwenzie kwa nini hukuuliza sababu? pengine hakuwa na hela ya kukodi chumba hotelini na ungefahamu ungensaidia labda na kuepusha na jaka moyo la hivi???
'contributory negligence' hiyo sasa.....kama alimegwa at all!!!
afu ni kama sijakuelewa vizuri.....ulimwacha yaani mkaachana kwa sababu ulimshuku hivyo au??