Ili uishi vizuri usingeoa wala usingetembea na mke wa mtu.
Kila la kheri maana siku hizi watu wanauwawa kweli kwa mambo kama hayo. Yakikukuta nakupa pole in advance.
Clara Harris
Mbona haya mambo ni ya kawaida tu Rushanju (bakora?),we relax lakini wakati huo huo huyo jamaa mwekee ma spy(tumia hela kidogo) ujue anaongea nini na nani na anapanga nini? Huyo mdada pia ongea naye ujue njemba ili react vipi nyumbani,weza kuta jamaa zuzu tu na jogoo halipandi ndo mana mkewe anamegwa.Don't panic,ukipata chance we piga tena,the higher the risk the higher the mhemuko!
kama unahitaji tuition zaidi juu ya tactics za kufanya cheating nitafute.

Sifa za kijinga, na sio kijinga cha moto.
au vipi?mwambie mtoto wa kiume kwa kuwa kaamua kuingia jikoni asiogope moto!Kama huna amani jitie kamba.
Huwezi kuwa mwanajeshi ukawa mwoga wa vita.
Unaniharibia fani.
Ili uishi vizuri usingeoa wala usingetembea na mke wa mtu.
Kila la kheri maana siku hizi watu wanauwawa kweli kwa mambo kama hayo. Yakikukuta nakupa pole in advance.
Kama huna amani jitie kamba.
Huwezi kuwa mwanajeshi ukawa mwoga wa vita.
Unaniharibia fani.
Nimetembea na mke wa mtu na alikuwa mpenzi wangu tangu tulipokua wadogo. Tulitengana kwa sababu za kijiografia tu. tumekutana kwa sababu za kazi wakati yeye kaolewa nami nikiwa na mke tayari. Tulijikuta tunakumbushia enzi na kwabahati mbaya tumebambwa live na mr.(mme wa mpenzi wangu) tumewekwa kiti moto nami nikabebembeleza na jamaa aliniachia kimya kimya na akaondoka na mkewe. Sina uhakika na kilichoendelea kule kwao na mimi niliondoka kabisa mkoa huo lakini siamini kabisa kama jamaa anaweza kukaa kimya. Naishi kwa kuogopa kivuli changu nmaana jamaa anasafiri sana na hela anayo. Naogopa kwenda kumwomba jamaa msamaha vilevile sina feedack toka kwa huyo mama kujua ni nini kinaendelea...
Naomba msaada wa mawazo ili niishi vizuri