Amekwambia kutafuna tafuna tangawizi… mazoezi ya kegel alafu asali na maziwa vilihusika na pia alimshirikisha mke wake kutatatua tatizo kwa pamoja nadhani hii ndio sehemu kubwa iliyomsaidiaAngalau ungetuambia aina/majina ya dawa ulizowahi kutumia ili tuanzie hapo.
Kegel ulifanya kwa mda ganiMkuu ni muda mrefu ila naomba niseme hili zoezi lilinisaidia plus tangawizi kutafuna tafuna ka kegel exercise pia zilinisaidia,be blessed.Asali na maziwa vilihusika pia.