Wordkwani sms ya muamala inakuja na no au jina la mtumaji
Tayari ashajichanganya jiiinga uyusasa iyo no uliyompigia umeitoa wapi wakat sms ya muamala haina no
Muamala umekuja kwa jina asa namba kaipataje akampigia?Braza mimi nakushauri kua usitumie hio pesa kabisa,subiri hata siku 60 ndio utumie maana kumbuka duniani humu hakuna kitu cha bure hapa
Kumbe ata hukuwa na salio afu unazingua kuitumia iyo elaSalio lako jipya ni TSh 211,131. Umepokea TSh 200,000 kutoka kwa 2557132982 - HELLEN SELEMANI, kumbukumbu no.PP.160906.1962.O. 06/09/
Nimefuta baadhi ya namba
Kwani mitego huwa haisaidii..?Mtego vipi wakati kakwambia itakusaidia
NakushAuri usitumie huo mpungaMuamala umekuja kwa jina asa namba kaipataje akampigia?
Hahahahahahahebu ziforwad kwangu
Sasa hauoni kama unajikamata kwa kusema uongo[emoji45] [emoji45]Imekuja na jina ila simjui kabisa nimejarbu kucheki hata kwenye mitandao ya kijamii hilo jina halipo
Wewe mbona huweleweki mara jinga kabisa mara muamala hauji na namba mara huna hela kwani lazima uchangieKumbe ata hukuwa na salio afu unazingua kuitumia iyo ela
Unacho kifanya ni kujitekenya mwenyewe, alafu unacheka weweTatzo nasaiidiwaje na mtu nisie mjua na hataki kujiweka hadharani
Mkuu hii bahati au mtego
Ww ujanielewa nimekwambia muamala umekuja na jina ila hilo jina halipo kwenye mitandao ya kijamiiSasa hauoni kama unajikamata kwa kusema uongo[emoji45] [emoji45]
Kama ulikuja na jina, wewe uliwazaje kumpigia sim ikiwa haukua na namba yake siku alipo kutumia 100 elfu na kisha ukasubiri kwa siku 3[emoji15]
Hapa naona unatuingiza bongo movie au unajifanyia promo
Hebu itume kwangu hiyo pesa ikikubali kuja tutajua sio mtegoSalio lako jipya ni TSh 211,131. Umepokea TSh 200,000 kutoka kwa 2557132982 - HELLEN SELEMANI, kumbukumbu no.PP.160906.1962.O. 06/09/
Nimefuta baadhi ya namba
Hii yaweza ikawa maji moto tu, sababu yawezekana haina majani wala sukarihii chai tena haina sukari... sms ya tigopesa we ukapata namba..
noma sana
Nitumie mimi namba yake kama wewe unaogopa kusaidiwa.Habari za usiku wakuu
Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila siku.Nina jambo linanisumbua na kuniweka njia panda na sijui lengo hasa la huyu mama nini hasa kisa chenyewe ni hivi
Terehe moja mwezi huu nilipokea pesa kwenye namba yangu ya tgopesa kiasi cha tsh 100,000 kwa namba nisiyo ifahamu nikasubiri kwa muda wa siku tatu nikijua mwenye atapiga au itachukuliwa na tigo wenywe lakini haikuwa hvyo nikaamua kumpigia ndipo akapoke MAMA mmoja .
Akaanza kunisifia kuwa mimi ni mwaminifu na kuna binadamu wachache kama mimi so akaniambia ni baki na ile hela na mambo mengine kibao nilikataa kabisa na kumrudishia ile hela lakn cha kushangaza juzi katuma tena laki mbili na kasema itanisaidia
Sasa nashindwa kuelewa ni mtego au ana lengo gani na mimi
Nawasalisha
Chinekeeee
Indeed...very interesting [emoji23] [emoji23] [emoji23]Interesting...