Nahisi nakaribia kucheat na x wangu.....!


Ukitaka kumwelewa mleta sredi jiweke kwenye kundi la masharobaro halafu soma
 
kundi la masharobaro?!...hw?
mbona cjakusoma
 
baba huyo wa mbeya mpe bye bye tuu... hapa tuna deal na locationships so kamatia iliye kuwa karibu nawe

Teh teh teh! ama kweli wahenga walinena FIMBO YA MBALI HAIU NYOKA!!!

Mi kwa hili napita
 
BIRIGITA umekula nini ,umeona ulichopost hapo juu!?
 
"hawara hana talaka na Ex hatongozwi " hao watu wawili ukiamua kuwaacha usiangalie nyuma ni rahisi sana kucheat nao,nakushauri usimkaribishe nyumbai kwako ukiwa peke yako manake most likely hautasalimika!
 
Mimi mwandiko wako tu...wala hausomeki nimeshindwa kuelewa
 
hapo hujaongea cha maana
communication ni two way traffic na sio one way
usipojibu itakuwaje.
nafikiri unapenda na unakubaliana nae ndio maana anaendelea
Nakupa BIG UP
 
Kama ulizoeshwa dozi kali, Na uo umbali tena! mpe pole huyo wa mbeya!
 
Husia wangu kwenu enyi vijanaa, msiweke macho juu kama mambaaaa..............................
 

Ficha upumbavu wako! LOL. Na magonjwa yote haya bado unashoboka na simu, message za mara 1000 kwa siku? You are kidding. Una maamuzi yako tayari. Keep up! l
 
Yani mi nazunguka na bahasha za kaki kwenye maofisi, na wewe uko bize kumfikiria X. Ngoja mambo yangu yatiki ntarudi. Whatch out

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sema tu ulikuwa bado unamzimia x wako zingine zote ni mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…