ilo nalo neno,,,na kwenda inabd niharibu ratiba nyngne za muhimu@,lakin nadhan nta-edit kidgo ushauri wa HMS thn ntafanya hvyo nisiwe ----- na mmHapo kwenye kuingia ndipo imapokosea!! Unakuta marafiki au hata wadogo zako wakikiomba ela unasema huna alafu unaenda mpa mtu mmekutana hata mwaka haujaisha!!! Ona sasa anakutia mastress yasiyo na kichwa wala miguu!!
hahahaaa!! you are touched haa!
Am livid!!
Am livid!!
What is livid?:wink2:
tehe tehe i use to be tht way too before ths gal bt i promicd myself kua serius nae and means no cheating,,,mpaka apa maana yake ni kua the way i use to thnk abt her changed and now uchakachuaj unaweza kuanza wakat wowote few days to come,,,,nahc wkt wang wa kutulia bado as i am only 25,,,ngja ncheze ngonjera za ujana mpk kieleweke
Ok,una hoja lakini nahisi si vyema kufanya hivyo.binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!

not all the time,,,so;etims it works