mshahara ukitoka una air time ya buku 5,,,,well said,,,bravooooo!!!!Pole sana. hiyo ni moja ya dalili ambayo unaibiwa kweli, lakini inaweza ikawa sio kweli kwa asilimia ndogo lkn inawezekana. hakuna faida ya kwenda huko na kumshtukiza maana unajipotezea muda wako tu, sasa ukimshtukiza hlf ukakuta anakusaliti utafanyaje? utasema utamuacha lkn kiukweli utajiumiza sn, cha msingi nachokushauri, ww tuliza nafsi yako, hlf usimpe mchunie, usimpigie wala usimtumie msg we muache tu, hlf uone reaction yke, km atakua ni mtu wa kukutafuta bac mjibu lkn kimkato, km anakupenda kwl hawezi choka kukutafuta km wewe unavomtafuta lkn km ana mtu mwngne utaona ndo anachukulia advantage ya kuwa mbali na ww zaidi. lenga mwanamke mwingine na uanzishe urafiki, hii itakupunguzia upweke, sio uanzishe mahusiano hapana js urafiki, hlf ukiona mambo yanakua mazuri tupia nyavu na achana na huyo wa mwanzo.
binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,
mshahara ukitoka una air time ya buku 5,,,,well said,,,bravooooo!!!!
mshahara ukitoka una air time buk 5,,,Pole sana. hiyo ni moja ya dalili ambayo unaibiwa kweli, lakini inaweza ikawa sio kweli kwa asilimia ndogo lkn inawezekana. hakuna faida ya kwenda huko na kumshtukiza maana unajipotezea muda wako tu, sasa ukimshtukiza hlf ukakuta anakusaliti utafanyaje? utasema utamuacha lkn kiukweli utajiumiza sn, cha msingi nachokushauri, ww tuliza nafsi yako, hlf usimpe mchunie, usimpigie wala usimtumie msg we muache tu, hlf uone reaction yke, km atakua ni mtu wa kukutafuta bac mjibu lkn kimkato, km anakupenda kwl hawezi choka kukutafuta km wewe unavomtafuta lkn km ana mtu mwngne utaona ndo anachukulia advantage ya kuwa mbali na ww zaidi. lenga mwanamke mwingine na uanzishe urafiki, hii itakupunguzia upweke, sio uanzishe mahusiano hapana js urafiki, hlf ukiona mambo yanakua mazuri tupia nyavu na achana na huyo wa mwanzo.
mshahara ukitoka una air time buk 5,,,
tht z bravoo!!!!!!!
Duniani, epuka sana kuyafanyia uchunguzi mambo ambayo huwezi kuyatolea uamuzi... Usije ukakutana na jambo hilo halafu uishie kumuachia Mungu kwa kuwa kumuacha huwezi... Kama unaona kuishi bila yeye huwezi yafanyie kazi mazuri yake tu.nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
tehe tehe teheee,,,Kama anakaa hostel za chuo usiende utaitiwa mwizi na uuliwe hizo suprise zenu za kizungu zitakutokea puani.
binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,
Nipishe mie. Horny brat.