J johkepha Member Joined Sep 25, 2015 Posts 58 Reaction score 41 Jul 2, 2016 #1 Jmn nina girl wangu aliachana na boy wake naalichange line asisumbuliwe lkn chaajabu leo yy ndokamtafuta jamaa anadai anataka amuambie ukwelianamtu wake... Je nia yake inaweza kuwa ni ipi guys
Jmn nina girl wangu aliachana na boy wake naalichange line asisumbuliwe lkn chaajabu leo yy ndokamtafuta jamaa anadai anataka amuambie ukwelianamtu wake... Je nia yake inaweza kuwa ni ipi guys
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,651 Reaction score 12,030 Jul 2, 2016 #2 Yaani anamtafuta ili amwambie kwamba ana mtu wake? Demu wako bado anatafunwa na mshikaji, sema tu wewe hujui kujiongeza
Yaani anamtafuta ili amwambie kwamba ana mtu wake? Demu wako bado anatafunwa na mshikaji, sema tu wewe hujui kujiongeza
J johkepha Member Joined Sep 25, 2015 Posts 58 Reaction score 41 Jul 2, 2016 Thread starter #3 BigBro said: Yaani anamtamfu ili amwambie kwamba ana mtu wake? Demu wako bado anatafunwa na mshikaji, sema tu wewe hujui kujiongeza Click to expand... Daaah pocble though mshikaji yupo mbali af demu yy ndokaanza kunitumia izo screenshot wanavyochat.... Nifanyeje apo mzee
BigBro said: Yaani anamtamfu ili amwambie kwamba ana mtu wake? Demu wako bado anatafunwa na mshikaji, sema tu wewe hujui kujiongeza Click to expand... Daaah pocble though mshikaji yupo mbali af demu yy ndokaanza kunitumia izo screenshot wanavyochat.... Nifanyeje apo mzee
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,728 Reaction score 18,242 Jul 2, 2016 #4 achana nae kabisa yan wameachana halafu anamtafuta bado anapenda
J johkepha Member Joined Sep 25, 2015 Posts 58 Reaction score 41 Jul 2, 2016 Thread starter #5 gh hussa said: achana nae kabisa yan wameachana halafu anamtafuta bado anapenda Click to expand... Umesomeka
gh hussa said: achana nae kabisa yan wameachana halafu anamtafuta bado anapenda Click to expand... Umesomeka
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,584 Reaction score 2,056 Jul 2, 2016 #6 Shtuka wewe Mume bwege..!
L Lwasu JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,304 Reaction score 1,234 Jul 2, 2016 #7 Ushaliwa yaan!!!!
J johkepha Member Joined Sep 25, 2015 Posts 58 Reaction score 41 Jul 2, 2016 Thread starter #8 Guys what to do?
J johkepha Member Joined Sep 25, 2015 Posts 58 Reaction score 41 Jul 2, 2016 Thread starter #9 mxsdk said: Shtuka wewe Mume bwege..! Click to expand... What to do
J johkepha Member Joined Sep 25, 2015 Posts 58 Reaction score 41 Jul 2, 2016 Thread starter #10 Lwasu said: Ushaliwa yaan!!!! Click to expand... What to do there