Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Mume wangu aliponichoka...

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"

Kwenye tendo sasa anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhikawewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya mi mwenyewe napenda vitu vizuri

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena

Wewe ni mama D mbona kama nakujuaa na hii story yakoo
 
ndoa tamu we mad max, oa uone tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha
Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion najipaka Vaseline ya watoto

Mmh wewe mama D Mungu anakuonaa
 
Fanya haya:-
  • Piga mswaki vizuri kila unapotaka kukutana naye kwa tendo
  • Oga mara kwa mara
  • Paka lotion ya cocoa, au inayonukia vizuri
  • Tengeneza nywele zako vizuri
  • Hakikisha mwili wako unanukia vizuri, na si jasho
  • Vaa vimini, nguo fupi za kumshawishi
  • Vaa bikini
  • Vaa nguo ya kulalia inayomshawishi
  • Weka mapozi ya kumchanganya ndani, ya mitego mitego n.k (swaga za mwanamke)
Bwana equinox thank you..Ila ukweli Ni kwamba..Mimi Ni msafi kuliko kawaida....halafu vyote hivyo sio vipya nipo ivyo tangu ananitongoza mpaka Sasa tuna watoto wawili...nikimtega yes anategeka Ila ananifanya kwa faida yake akishakojoa huyoooo kuchat Facebook
 
20230629_173001.jpg
 
Jichunguze ni wapi ulimkosea... Ndoa za sasa hivi nyingi zina pata shida kwasababu ya wana ndoa kuchukuliana poa.... Ujuaji mwingi..... Dharau....
 
Mume wangu aliponichoka...

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"

Kwenye tendo sasa anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhikawewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya mi mwenyewe napenda vitu vizuri

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena
Hadi anajibu ukimuuliza?Mnapendana ninyi.Ni vitu vidogovidogo tu hamjaviweka sawa.
 
Sasa mbona unacheka?Unafurahia unachopitia?
Huyu mi naona anawaenjoy tu maana kila ushauri anaopewa yeye yuko -ve nao na yuko very happy. Anapitia magumu lakini hapo hapo anakwambia yeye ni msiri wala hawezi kuwashirikisha wengine hata ndugu wa mumewe au mama mtu mzima kanisani kwake. Sasa sijui nini maana ya kuomba ushauri🤔
Basi ayavumilie tu hayo yanayomtokea seems like she's ready to face the situation alone and JF is the place of seeking attention and cherishing her period....🙌
 
Kosa langu Ni kumghasi kila Sasa nalialia,baba sweetie I miss you..baba sweetie kwanini hunipend..baba sweetie...waiiii ndo anaongeza mabalaaa..eti we bila Mimi huez kuishi?
Hiyo ndio mbaya sasa. Give him a room, wanaume kuna wakati wanakuwa kama mapepo😂
 
Mume wangu aliponichoka...

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"

Kwenye tendo sasa anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhikawewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya mi mwenyewe napenda vitu vizuri

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena
Hebu njoo PM tuondoane stress mkuu. Huyo mwanaume hajui thamani yako
 
Pole sana mkuu, tenga muda kuiombea familia yako kila siku mana ndoa zinashambuliwa na mengi... na jipe u bize punguza kumpgia simu akitoka au story nyingi akirud ila timiza majukumu yote kikamilifu. Pambana na hiyo vita kisaikolojia.. mwanamke ana akili sana, itumie. Anza na kutolalamika ata afanye nn hiyo itamsanua kidogo.
 
Mume wangu aliponichoka...

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"

Kwenye tendo sasa anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhikawewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya mi mwenyewe napenda vitu vizuri

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena
Maskini😔😔😔bado unafanya nini apo dear? Naomba rudi kwenu haraka😭
 
Back
Top Bottom